Mtume hakuwahi kumuona Allaah duniani kwa macho yake

Swali: Je, Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwona Mola Wake (Ta´ala) usikuwa wa israa´?

Jibu: Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumwona Mola Wake duniani kwa macho ya kichwani mwake duniani kutokana na maoni sahihi ya wanachuoni juu ya hilo. Alimwona Jibriyl (´alayhis-Salaam) kwa umbile lake kwenye upeo angani. Haya ndio makusudio ya maneno Yake (Ta´ala):

عَلَّمَهُ شَدِيدُ الْقُوَىٰ

”Amemfunza aliye mwingi wa nguvu… ” (53:05-17)

  • Mhusika: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (02/130)
  • Imechapishwa: 22/08/2020