Swali: Je, Sunnah katika kupunguza ndevu ni kukata au kunyoa?
Jibu: Sunnah ni kupunguza:
“Punguzeni masharubu.”
Inakuwa kwa kukata na si kwa kunyoa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23014/ما-السنة-في-قص-الشارب-وكيفيته
- Imechapishwa: 13/10/2023