Jitahidi kuswali Dhuhaa nyumbani na si kazini

Swali: Mtu aswali Dhuhaa kabla ya kwenda kazini au aiswali kazini?

Jibu: Bora aiswali kabla ya kazi. Bora aiswali nyumbani kwake muda wa kuwa jua limekwishachomoza. Kazini anatakiwa kujishughulisha na kazi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23010/حكم-اداء-سنة-الضحى-في-العمل
  • Imechapishwa: 13/10/2023