Masharubu yanapunguzwa na si kunyolewa

Swali: Je, Sunnah katika kupunguza ndevu ni kukata au kunyoa?

Jibu: Sunnah ni kupunguza:

“Punguzeni masharubu.”

Inakuwa kwa kukata na si kwa kunyoa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23014/ما-السنة-في-قص-الشارب-وكيفيته
  • Imechapishwa: 13/10/2023