Mara usawa wa mabega, mara nyingine usawa wa masikio

Swali: Je, ana mashiko mwenye kusema kuwa kunyanyua mikono inakuwa baina ya masikio mawili na mabega?

Jibu: Mara inakuwa usawa na mabega na mara nyingine inakuwa usawa na masikio[1].

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/13-kunyanyua-mikono-wakati-wa-takbiyr/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23751/صفة-رفع-اليدين-في-الصلاة
  • Imechapishwa: 20/04/2024