Inafaa, lakini ni kwenda kinyume na Sunnah

Swali: Je, inachukiza mara nyingine akileta Basmalah kwa sauti ya juu?

Jibu: Hapana, haidhuru. Hata hivyo ni kwenda kinyume na Sunnah. Kwa ajili hiyo Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiisema kwa sauti ya juu. Pengine hayo yalikuwa yakitokea baadhi ya nyakati.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23752/هل-يكره-الجهر-بالبسملة-في-الصلاة
  • Imechapishwa: 20/04/2024