Swali: Ni ipi hukumu ya mapote ya Suufiyyah ya leo?
Jibu: Mapote mengi ya Suufiyyah yana Bid´ah. Tunakunasihi kufuata uongofu wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake katika ´ibaadah na mambo mengine. Soma kitabu “Haadhihiy hiya as-Suufiyyah” cha ´Abdur-Rahmaan al-Wakiyl (Rahimahu Allaah).
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/185)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)