Swali: Ni ipi hukumu ya mapote ya Suufiyyah ya leo?

Jibu: Mapote mengi ya Suufiyyah yana Bid´ah. Tunakunasihi kufuata uongofu wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake katika ´ibaadah na mambo mengine. Soma kitabu “Haadhihiy hiya as-Suufiyyah” cha ´Abdur-Rahmaan al-Wakiyl (Rahimahu Allaah).

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/185)
  • Imechapishwa: 23/08/2020