Swali: Vipi kuhusu kuyaangaza makaburi?
Jibu: Hakuna neno ikiwa ni katika njia za kwenda makaburi na hayawashwi isipokuwa wakati wa haja. Hapana vibaya wakiweka mataa njiani au wakaja nayo. Kilichokatazwa ni kuweka mataa ndani ya makaburi. Hata hivyo hapana vibaya wakiyawasha wakati kuna haja kisha wakayazima baada ya kumaliza kuzika.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23216/ما-حكم-انارة-المقابر
- Imechapishwa: 02/12/2023
Swali: Vipi kuhusu kuyaangaza makaburi?
Jibu: Hakuna neno ikiwa ni katika njia za kwenda makaburi na hayawashwi isipokuwa wakati wa haja. Hapana vibaya wakiweka mataa njiani au wakaja nayo. Kilichokatazwa ni kuweka mataa ndani ya makaburi. Hata hivyo hapana vibaya wakiyawasha wakati kuna haja kisha wakayazima baada ya kumaliza kuzika.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23216/ما-حكم-انارة-المقابر
Imechapishwa: 02/12/2023
https://firqatunnajia.com/makatazo-ya-kuweka-mataa-makaburini/