Swali: Ikiwa kuna maovu ambayo mtu ana uwezo wa kuyabadilisha… watu wengi wanaacha maovu na wanasema kuwa hawawezi kumshtaki fulani.

Jibu: Ikiwa anaweza [kuyabadilisha] analazimika. Ikiwa anaweza kuyaondosha maovu basi analazimika; kwa amri yake, kuwafikishia kamati, kwa sababu yeye ndiye baba wa nyumba na mfano wa hayo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23222/ما-حكم-تبيلغ-ولي-الامر-بالمنكر-لتغييره
  • Imechapishwa: 02/12/2023