Inafaa kuomba du´aa katika Sujuud ya kusahau?

Swali: Je, inafaa kuomba du´aa katika Sujuud ya kusahau?

Jibu: Ndio, ni kama vile Sujuud ya swalah. Atasema:

سبحان ربي الأعلى

“Ametakasika  Mola wangu, Aliye juu kabisa.”

Kisha ataomba ndani yake. Ni jambo zuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23227/هل-يجوز-الدعاء-في-سجود-السهو
  • Imechapishwa: 02/12/2023