Swali: Baadhi ya watu wanatambulishwa kwa majina wanayoyachukia kwa mfano Ibn ´Ulayyah?

Jibu: Haijalishi kitu ikiwa ndio jina linalomtambulisha. Mfano wa Ibn ´Ulayyah, ´Abdullaah Ibn Umm Maktuum ambaye alikuwa ni Swahabah akitambulishwa kwa mama yake, ´Abdullaah bin Ubayy bin Saluul ambaye pia ananasibishwa kwa mama yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23210/حكم-تعريف-انسان-بما-يكره
  • Imechapishwa: 02/12/2023