Swali: Ni upi msimamo sahihi wa kuchukua hatua wakati nitapoona mkusanyiko wa makafiri wanafanya maasi?
Jibu: Makafiri hawakuingia nchini mwetu isipokuwa kwa mkataba. Mkataba unasema kuwa wasifanye maovu wala kufuru hadharani. Aidha wasidhihirishe ´Aqiydah wala swalah zao. Mkataba unasema hivo. Kwa hivyo ni lazima uwashtaki kwa kituo cha serikali kilicho karibu nawe ili wafuate mkataba na nidhamu. Usinyamazie jambo hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (01)
- Imechapishwa: 31/01/2024
Swali: Ni upi msimamo sahihi wa kuchukua hatua wakati nitapoona mkusanyiko wa makafiri wanafanya maasi?
Jibu: Makafiri hawakuingia nchini mwetu isipokuwa kwa mkataba. Mkataba unasema kuwa wasifanye maovu wala kufuru hadharani. Aidha wasidhihirishe ´Aqiydah wala swalah zao. Mkataba unasema hivo. Kwa hivyo ni lazima uwashtaki kwa kituo cha serikali kilicho karibu nawe ili wafuate mkataba na nidhamu. Usinyamazie jambo hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (01)
Imechapishwa: 31/01/2024
https://firqatunnajia.com/makafiri-wanaodhihirisha-maasi-katika-miji-ya-waislamu/