Makafiri wanaodhihirisha maasi katika miji ya waislamu

Swali: Ni upi msimamo sahihi wa kuchukua hatua wakati nitapoona mkusanyiko wa makafiri wanafanya maasi?

Jibu: Makafiri hawakuingia nchini mwetu isipokuwa kwa mkataba. Mkataba unasema kuwa wasifanye maovu wala kufuru hadharani. Aidha wasidhihirishe ´Aqiydah wala swalah zao.  Mkataba unasema hivo. Kwa hivyo ni lazima uwashtaki kwa kituo cha serikali kilicho karibu nawe ili wafuate mkataba na nidhamu. Usinyamazie jambo hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (01)
  • Imechapishwa: 31/01/2024