Majina ya kigeni pindi mtu anaposilimu

Swali: Mtu akiingia katika Uislamu na jina lake la zamani lilikuwa la kigeni – je, analazimika kulibadilisha kwenda katika jina la kiislamu?

Jibu: Ikiwa jina lake halina makatazo si lazima kulibadilisha. Ama ikiwa si mazuri basi ayabadilishe kwenda katika majina mazuri zaidi. Mfano wa majina yaliyokatazwa ´Abdul-Ka´bah (mja wa Ka´ba) au ´Abdun-Nabiy (mja wa Mtume).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22370/هل-يلزم-الاعجمي-اذا-اسلم-تغيير-اسمه
  • Imechapishwa: 10/03/2023