Swali: Kuna mwanamke Ramadhaan imemkuta akiwa na ujauzito wa miezi tisa. Mwanzoni mwa mwezi alifunga na huku akitokwa na uteute na sio damu. Haya yamemtokea miaka kumi huko nyuma. Je, mwanamke huyu anatakiwa kulipa pamoja na kuzingatia kwamba alifunga akiwa ni mwenye kutokwa na uteute?
Jibu: Ikiwa hali ni hivyo ilivyoelezwa, basi swawm yake ni sahihi. Hahitajii kulipa siku hiyo.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq bin ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Qu´uud
- Mhusika: al-Ladjnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ladjnah ad-Daaimah (10/221) Fatwa nr. (6549)
- Imechapishwa: 19/04/2022
Swali: Kuna mwanamke Ramadhaan imemkuta akiwa na ujauzito wa miezi tisa. Mwanzoni mwa mwezi alifunga na huku akitokwa na uteute na sio damu. Haya yamemtokea miaka kumi huko nyuma. Je, mwanamke huyu anatakiwa kulipa pamoja na kuzingatia kwamba alifunga akiwa ni mwenye kutokwa na uteute?
Jibu: Ikiwa hali ni hivyo ilivyoelezwa, basi swawm yake ni sahihi. Hahitajii kulipa siku hiyo.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq bin ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Qu´uud
Mhusika: al-Ladjnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ladjnah ad-Daaimah (10/221) Fatwa nr. (6549)
Imechapishwa: 19/04/2022
https://firqatunnajia.com/maji-ya-uzazi-yanayomtoka-mwanamke-aliyefunga/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)