Maji ya uzazi yanayomtoka mwanamke aliyefunga

Swali: Kuna mwanamke Ramadhaan imemkuta akiwa na ujauzito wa miezi tisa. Mwanzoni mwa mwezi alifunga na huku akitokwa na uteute na sio damu. Haya yamemtokea miaka kumi huko nyuma. Je, mwanamke huyu anatakiwa kulipa pamoja na kuzingatia kwamba alifunga akiwa ni mwenye kutokwa na uteute?

Jibu: Ikiwa hali ni hivyo ilivyoelezwa, basi swawm yake ni sahihi. Hahitajii kulipa siku hiyo.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq bin ´Afiyfiy

´Abdullaah bin Qu´uud

  • Mhusika: al-Ladjnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Ladjnah ad-Daaimah (10/221) Fatwa nr. (6549)
  • Imechapishwa: 19/04/2022