Swali: Mtu akiacha ameusia kabla ya kufa kuzikwa kwenye makaburi maalum inatakiwa kutekeleza wasia wake au hapana?
Jibu: Ikiwezekana ni sawa. Ikiwezekana kumpeleka sehemu hiyo ambayo aliacha anausia azikwe ni sawa. Ikiwa haiwezekani azikwe sehemu aliofikia pamoja na waislamu. Azikwe kwenye makaburi ya waislamu na himdi zote ni za Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14817
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Mtu akiacha ameusia kabla ya kufa kuzikwa kwenye makaburi maalum inatakiwa kutekeleza wasia wake au hapana?
Jibu: Ikiwezekana ni sawa. Ikiwezekana kumpeleka sehemu hiyo ambayo aliacha anausia azikwe ni sawa. Ikiwa haiwezekani azikwe sehemu aliofikia pamoja na waislamu. Azikwe kwenye makaburi ya waislamu na himdi zote ni za Allaah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14817
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/maiti-ameacha-anausia-azikwe-maeneo-fulani/