Swali: Mama yangu anamuudhi mke wangu na mimi niko ´Umrah. Namlazimisha mke wangu daima awe na mamangu. Je, nina haki kumlazimisha mke wangu kufanya hivo?
Jibu: Hapana, kuhusu kumlazimisha usimlazimishe. Lakini unachotakiwa ni kumuomba hili na kumpa moyo kumsaidia kumtendea wema mama yako na kwamba ana ujira katika kufanya hivo. Kuhusu kumlazimisha usimlazimishe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14819
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Mama yangu anamuudhi mke wangu na mimi niko ´Umrah. Namlazimisha mke wangu daima awe na mamangu. Je, nina haki kumlazimisha mke wangu kufanya hivo?
Jibu: Hapana, kuhusu kumlazimisha usimlazimishe. Lakini unachotakiwa ni kumuomba hili na kumpa moyo kumsaidia kumtendea wema mama yako na kwamba ana ujira katika kufanya hivo. Kuhusu kumlazimisha usimlazimishe.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14819
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/anamlazimisha-mke-kuwa-na-mafungamano-mazuri-na-mamake/