Swali: Nini maana ya zipitishe sifa za Allaah kama zilivyokuja?
Jibu: Zipitishe pamoja na kuziamini. Maana yake ni kwamba zisibadilishwi kitu wala zisiwekewi mpaka. Nazipitisha kama zilivyokuja.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 103
- Imechapishwa: 09/02/2023