Maana ya kuzipitisha sifa kama zilivyokuja

Swali: Nini maana ya zipitishe sifa za Allaah kama zilivyokuja?

Jibu: Zipitishe pamoja na kuziamini. Maana yake ni kwamba zisibadilishwi kitu wala zisiwekewi mpaka. Nazipitisha kama zilivyokuja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 103
  • Imechapishwa: 09/02/2023