Swali: Vipi kuhusu kusema kwamba Ibn Khuzaymah ni imamu wa maimamu?

Jibu: Bi maana ni imamu katika wakati wake. Hiyo ndio tafsiri bora inayoweza kufasiriwa kwamba ni imamu katika kipindi chake kutokana na nguvu yake katika Sunnah na kuwaraddi Ahl-ul-Bid´ah. Alifariki mwaka wa 310 mwaka ambao alifariki Ibn Jariyr.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 95
  • Imechapishwa: 09/02/2023