Swali: Ni ipi maana ya istilahi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah? Je, wanachuoni wa masomo ya Burayluu India wanazingatiwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kwa nini?
Jibu: Ni wale waliyomo katika mfano wa yale aliyokuwemo Muhammad bin ´Abdillaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake wote. Hawa ndio Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/156-157)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Ni ipi maana ya istilahi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah? Je, wanachuoni wa masomo ya Burayluu India wanazingatiwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kwa nini?
Jibu: Ni wale waliyomo katika mfano wa yale aliyokuwemo Muhammad bin ´Abdillaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake wote. Hawa ndio Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/156-157)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/maana-ya-ahl-us-sunnah-wal-jamaaah-kwa-mujibu-wa-al-lajnah-ad-daaimah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket