Swali: Ni vidhibiti vipi vya Kishari´ah ambavyo anahukumiwa mtu kuwa ni Salafiy?
Jibu: Ikiwa anawafuata Salaf katika maneno yake, vitendo vyake na ´Aqiydah na Manhaj yake. Anafuata Qur-aan na Sunnah na ufahamu wa Salaf-us-Swaalih.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wusswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://olamayemen.com/index.php?article_id=2697
- Imechapishwa: 01/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)