Swali: Si sharti kufuatanisha wakati wa kulipa deni la Ramadhaan. Je, inafaa kwa mtu mara akafunga na mara akaacha na kadhalika?
Jibu: Ndio. Si sharti kufuatanisha. Afunge na kulipa kulingana na uwezo wake. Lakini mtu akiweza kufuatanisha ndio bora zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (02/421)
- Imechapishwa: 17/03/2022
Swali: Si sharti kufuatanisha wakati wa kulipa deni la Ramadhaan. Je, inafaa kwa mtu mara akafunga na mara akaacha na kadhalika?
Jibu: Ndio. Si sharti kufuatanisha. Afunge na kulipa kulingana na uwezo wake. Lakini mtu akiweza kufuatanisha ndio bora zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (02/421)
Imechapishwa: 17/03/2022
https://firqatunnajia.com/lazima-kufululiza-wakati-wa-kulipa-deni-la-ramadhaan/