Kwenda kwa wachawi kwa sababu ya matatizo ya kindoa

Swali: Migogoro ya kindoa imekuwa mingi ambapo nikaambiwa sababu ya hayo ni uchawi. Je, inafaa kwangu kwenda kwa wachawi ili wanizingue kitu hichi?

Jibu: Ni lazima kwako kufanya nyuradi za asubuhi na jioni, kumtaka msaada na kinga Allaah. Usende kwa wachawi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 16/01/2021