Swali: Anakufuru mwenye kumlinganisha Muumbaji na viumbe?
Jibu: Ikiwa ni mjuzi wa hilo anakufuru. Ama ikiwa ni mjinga abainishiwe ya kwamba kitendo hichi ni batili na hakijuzu. Akiendelea na asikubali ahukumiwe kufuru. Kwa kuwa amesawazisha baina ya Allaah na viumbe Wake. Huku ni kumtukana Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2134
- Imechapishwa: 10/07/2020
Swali: Anakufuru mwenye kumlinganisha Muumbaji na viumbe?
Jibu: Ikiwa ni mjuzi wa hilo anakufuru. Ama ikiwa ni mjinga abainishiwe ya kwamba kitendo hichi ni batili na hakijuzu. Akiendelea na asikubali ahukumiwe kufuru. Kwa kuwa amesawazisha baina ya Allaah na viumbe Wake. Huku ni kumtukana Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2134
Imechapishwa: 10/07/2020
https://firqatunnajia.com/kwanini-asikufurishwe-anayemlinganisha-allaah-na-viumbe-wake/