Msengenywaji anataka apewe pesa

Swali: Mwenye kumsengenya mtu kisha akatubu. Baadae akaja na kuomba msamaha lakini msengenywaji akawa amekataa isipokuwa mpaka apewe pesa kiwango fulani. Je, ni lazima kwa yule msengenyaji kumpa kiwango cha pesa hizo?

Jibu: Ikiwa ni kwa malengo la kumsamehe ampe. Mali ni kitu kidogo ukilinganisha na adhabu na kisasi siku ya Qiyaamah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2134
  • Imechapishwa: 10/07/2020