Swali: Baadhi ya wanazuoni wanasema kuwa kama mtu alikuwa na kanda ilio na nyimbo kisha akatubia, basi asirekodi mambo mengine. Bali aivunje na ajinasue nayo. Je, haya ni kweli?
Jibu: Hapana. Hapana vibaya akiweza kufuta shari na kuweka mahali pake kheri. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipoteka mji wa Twaaif alivunja sanamu la al-Laat na al-´Uzzaa na akaweka maeneo yale msikiti. Himdi zote njema anastahiki Allaah kukiondoshwa shari na kukawekwa mahala pake kheri. Hakuna tatizo katika hili. Si jambo limekatazwa. Hapana vibaya – Allaah akitaka.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (23)
- Imechapishwa: 13/11/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)