Swali: Je, ni wajibu kwa wazazi kumvalisha msichana wao ambaye ana umri wa miaka saba Hijaab ya Kishari´ah?
Jibu: Hapana. Kusema ni wajibu sio wajibu. Lakini ikiwa makusudio yao wanamaanisha kumzowesha Hijaab, ni sawa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, ni wajibu kwa wazazi kumvalisha msichana wao ambaye ana umri wa miaka saba Hijaab ya Kishari´ah?
Jibu: Hapana. Kusema ni wajibu sio wajibu. Lakini ikiwa makusudio yao wanamaanisha kumzowesha Hijaab, ni sawa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuwazoweza-wasichana-wadogo-kuvaa-hijaab/