Kuwazoweza wasichana wadogo kuvaa Hijaab

Swali: Je, ni wajibu kwa wazazi kumvalisha msichana wao ambaye ana umri wa miaka saba Hijaab ya Kishari´ah?

Jibu: Hapana. Kusema ni wajibu sio wajibu. Lakini ikiwa makusudio yao wanamaanisha kumzowesha Hijaab, ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020