Swali: Ni yepi maoni yenye nguvu juu ya talaka ya mlevi inapita au haipiti?

Jibu: Waulizeni baraza la kufutu [la wanachuoni wakubwa].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020