Swali: Je, kutahadharisha mapote ya ki-Hizbiyyah ni kusenganya?

Jibu: Maadamu hukumlenga yeyote, hii ni katika nasaha. Ama ukimlenga mtu maalum, hii itahesabika kuwa ni usengenyaji. Kuhusiana na kumsengenya mtu maalum, ikiwa katika kufanya hivyo kuna maslahi makubwa ni jambo la sawa. Ama ikiwa katika kufanya hivyo kunapatikana madhara makubwa, haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020