Swali: Je, anaswaliwa ambaye anasimamishiwa adhabu ya Kishari´ah?
Jibu: Ndio, anaoshwa na kuswaliwa. Kama alivyooshwa Maa´iz na al-Ghaamidiy. Walipigwa mawe na baadaye wakaswaliwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22927/هل-يغسل-من-اقيم-عليه-الحد
- Imechapishwa: 21/09/2023