Kukusanya na kufupisha swalah katika safari siku 3 ya pikniki

Swali: Inafaa kwetu kukusanya na kufupisha swalah katika safari yetu ya takriban 200 km kuanzia siku ya jumatano, alkhamisi mpaka ijumaa?

Jibu. Ndio, hapana vibaya muda wa kuwa wako safarini. Lakini bora wakusanye pale watapokuwa wametua.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22944/هل-يجوز-قصر-الصلاة-في-سفر-النزهة
  • Imechapishwa: 21/09/2023