Kuwaosha na kuwaswalia waliokufa kwa dhambi ya uzinzi

Swali: Je, anaswaliwa ambaye anasimamishiwa adhabu ya Kishari´ah?

Jibu: Ndio, anaoshwa na kuswaliwa. Kama alivyooshwa Maa´iz na al-Ghaamidiy. Walipigwa mawe na baadaye wakaswaliwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22927/هل-يغسل-من-اقيم-عليه-الحد
  • Imechapishwa: 21/09/2023