Swali: Mtoto wa kaka yangu amefariki na alikuwa na miaka kumi na tano. Nimemlea tangu alipokuwa na umri wa mwaka mmoja. Je, ataniombea uombezi siku ya Qiyaamah?
Jibu: Una ujira wa udugu kwa kuwa ni mtoto wa kaka yako na una ujira wa uyatima kwa kuwa umemtendea yatima wema. Una ujira mara mbili; ujira wa udugu na kumtedea yatima wema.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
- Imechapishwa: 09/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket