Haijuzu kuuza ngozi ya Udhhiyah. Ima aipeane zawadi, aitoe swadaqah au aitumie. Akimpa ngozi hiyo mchinjaji hakuna neno muda wa kuwa hakutoathiri malipo yake. Haifai endapo atampa ngozi hiyo kana kwamba anachukua malipo yake. Ni lazima ampe malipo yasiyokuwa ngozi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (26/23)
- Imechapishwa: 28/07/2020
Haijuzu kuuza ngozi ya Udhhiyah. Ima aipeane zawadi, aitoe swadaqah au aitumie. Akimpa ngozi hiyo mchinjaji hakuna neno muda wa kuwa hakutoathiri malipo yake. Haifai endapo atampa ngozi hiyo kana kwamba anachukua malipo yake. Ni lazima ampe malipo yasiyokuwa ngozi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (26/23)
Imechapishwa: 28/07/2020
https://firqatunnajia.com/kuuza-ngozi-ya-kichinjwa-katika-iyd-ul-adhwhaa/