Kuuza ardhi kabla ya kuwa na hati miliki

Swali: Vipi kuhusu kupeana ardhi sasa na kuiuza kabla ya kuipokea?

Jibu: Hilo halijuzu mpaka aimiliki. Anatakiwa apewe hati yake na aimiliki. Kunaingia pia ardhi ambapo haifai kwake kuiuza mpaka aimiliki. Kwa maana nyingine mpaka apewe hati yake na jambo liwe la kihakika. Haitakiwi kuwa udanganyifu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24438/هل-يجوز-بيع-الاراضي-قبل-الاستلام-والقبض
  • Imechapishwa: 11/10/2024