Hili ni kutokana na vile anavyoona mtawala

Swali: Kafiri anayehitajika katika Bara Arabu ataachiwa aingie kutokana na manufaa fulani kwa kuzingatia kitendo cha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na watu wa Khaybar?

Jibu: Hili linarejea kutokana na vile anavyoona mtawala manufaa ya waislamu yakipelekea hivo kwa kipindi cha muda fulani.

 Swali: Mtu anaweza kusema kwamba makusudio ya kuwatoa ni pale kunapokhofiwa wao kuwa na nguvu na si anapokuwa ni mtu mmojammoja?

Jibu: Andiko ni lenye kuenea.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24437/حكم-استقدام-كافر-في-جزيرة-العرب-لمصلحة
  • Imechapishwa: 11/10/2024