Swali: Vipi kwa mwenye kutosheka na kuifanya du´aa kuwa ni sababu katika kujitibu?
Jibu: Du´aa ni sababu pia. Lakini akijitibu kwa kitu kingine; kama vyakula, vinywaji, kujichoma kwa chuma cha moto, mafuta au vyenginevyo. Hapana vibaya kufanya sababu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22247/حكم-الاكتفاء-بالدعاء-في-التداوي
- Imechapishwa: 20/01/2023