Swali: Kuna mtu amepewa mtihani wa matamanio makali na wala hataki kumweleza mke wake.

Jibu: Aoe na atangaze yale maneo ambapo ameoa. Akiwa katika maeneo mengine atangaze. Afanye hivo ili isiwe mfano wa uzinzi. Awatangazie wale majirani. Aoe lakini asifiche. Aitangaze ndoa ili isifanane na uzinzi.

Swali: Je, amweleze mke wake?

Jibu: Akimweleza ni sawa na asipomweleza ni sawa pia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22246/هل-يلزم-اعلام-الزوجة-عند-الزواج-باخرى
  • Imechapishwa: 20/01/2023