Swali: Ni miongoni mwa adabu kutonyanyua sauti mbele ya wanachuoni?
Jibu: Ndio. Wanachuoni ndio warithi wa Mitume[1]. Ikiwa mtu anatakiwa kuwa na adabu na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) vilevile mtu awe na adabu na warithi wake katika wanachuoni kwa ajili ya kuheshimu elimu ambayo ni Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-13.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni miongoni mwa adabu kutonyanyua sauti mbele ya wanachuoni?
Jibu: Ndio. Wanachuoni ndio warithi wa Mitume[1]. Ikiwa mtu anatakiwa kuwa na adabu na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) vilevile mtu awe na adabu na warithi wake katika wanachuoni kwa ajili ya kuheshimu elimu ambayo ni Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
[1] Tazama 1234
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-13.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/kutonyanyua-sauti-mbele-ya-wanachuoni/