Maiti za Ahl-ul-Bid´ah ni lazima wabainishwe

Swali: Yule anayewatukana Maswahabah wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na vitabu vyake vinaita katika Takfiyr na kumfanyia uasi mtawala na ameshakufa. Je, hali yake ibainishwe kwa watu?

Jibu: Hili halina shaka. Kibainishwe kitabu ambacho ndani yake kuna upotevu huu na jina lake ili asije akadanganyika yeyote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-20.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020