Kutoka nje ya msikiti baada ya adhaana

Swali: Vipi kutoka msikitini kwa ajili ya darsa kwenda msikiti mwingine?

Jibu: Hili ni kwa ajili ya udhuru unaokubalika katika Shari´ah. Lakini anatakiwa kutoka kabla ya adhaana. Lakini azingatie kutoka kabla ya kuadhiniwa ili asidhaniwe vibaya.

Swali: Akitoka kwa ajili ya kwenda kuswali msikiti mwinigne?

Jibu: Hapana, hapana. Asitoke kwa ajili ya kwenda kuswali msikiti mwingine baada ya kuadhiniwa. Huu sio udhuru. Isipokuwa akiwa ni imamu au anaenda katika darsa. Kwa msemo mwingine sababu ambazo ni muhimu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22126/هل-يجوز-الخروج-من-المسجد-بعد-الاذان
  • Imechapishwa: 27/10/2022