Swali: Kuna mwanamke anasumbuliwa sana na wadudu wachungu nyumbani.

Jibu. Wakimsumbua ni sawa akawaua. Lakini asiwaue kwa moto. Lakini wasipomuudhi asiwadhuru. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kumuua mdudu mchugu, nyuki, hudihudi na cherimiyo[1]. Lakini kama wanasumbua wanauliwa.

[1] Tazama https://en.wikipedia.org/wiki/Shrike

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22181/ما-حكم-قتل-النمل-في-البيوت
  • Imechapishwa: 29/10/2022