Kutoka bila idhini ya mume katika talaka rejea

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliyeachika talaka rejea anayo haki ya kutoka katika nyumba ya mume wake pasi na idhini yake?

Jibu: Hapana. Bado ni mke. Maadamu yuko ndani ya eda bado ni mke. Kwa hivyo ni lazima kwanza apate idhini yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 03/06/2023