Swali: Vipi ikiwa mtu atasema maneno [ya kufuru] kwa ulimi wake pasi na kuyaamini moyoni anakufuru?
Jibu: Ndio. Endapo atayasema ilihali ni mwenye kucheka… kwa mfano akasema kuwa Muhammad ni mwongo, akawa anacheza ilihali si mwenye kuitakidi ndani ya moyo au akasema kuwa Allaah hayuko juu ya mbingu anakufuru.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 101
- Imechapishwa: 25/12/2016
Swali: Vipi ikiwa mtu atasema maneno [ya kufuru] kwa ulimi wake pasi na kuyaamini moyoni anakufuru?
Jibu: Ndio. Endapo atayasema ilihali ni mwenye kucheka… kwa mfano akasema kuwa Muhammad ni mwongo, akawa anacheza ilihali si mwenye kuitakidi ndani ya moyo au akasema kuwa Allaah hayuko juu ya mbingu anakufuru.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 101
Imechapishwa: 25/12/2016
https://firqatunnajia.com/kutamka-maneno-ya-kufuru-kwa-mchezo/