Swali: Sisi huku kwetu Marekani kuna watu wanawakimbiza watu kusoma vitabu vya Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) na anasema kuwa haviwanufaishi waislamu walioko Marekani. Unasemaje juu ya hilo?
Jibu: Vitabu vya Shaykh vimejengwa juu ya Qur-aan na Sunnah, sawa ikiwa ni Marekani au kwengine. Vinasomwa Marekani na sehemu nyinginezo. Yule mwenye kutaka uongofu basi Allaah atamwongoza na asiyetaka uongofu huna juu yake la kufanya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 11/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket