Utalii katika miji ya Kiislamu zilizo na maasi

Swali: Ni ipi hukumu ya kusafiri kwa ajili ya utalii kwenda katika miji ya Kiislamu ambayo kumejaa maasi ya wazi wazi?

Jibu: Haijuzu kufanya utalii katika miji isiyokuwa na dini na ilio na maovu ya wazi wazi. Haijuzu kufanya utalii huko.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017